Simu +255 746166 058
Dominika ya 22 ya Mwaka C, 31 Aug 2025

Masomo Somo la I Yosua bin Sira 3:17- 20, 28 – 29Katikati Zab. 68: 3 -6, 9-10 Somo la II Ebrania. 12: 18 -19, 22-24 Injili Luka 14: 1, 7-14 MATANGAZO Tunawashukuru sana jumuiya ya Anna waliosafisha kanisa jana. Idadi yao ni 17…

