Ratiba ya Misa
Dominika ya 21 ya mwaka C wa Kanisa
1. Misa ya kwanza
Misa ya kuhitimisha Mfungo na itaanza saa 1:30 hadi saa 3:30 asubuhi.
2. Misa kwa lugha ya Kiingereza
Saa 3:45 asubuhi hadi saa 5:15
3. Misa ya Pili kwa Kiswahili
Saa 5:30 asubuhi hadi saa 7:15
4. Misa ya watoto
Hakutakuwepo na Misa Ya saa 12 asubuhi. Aidha, Misa zote mbili za Kigangoni Mikocheni A hazitakuwepo