RATIBA YA MFUNGO KUOMBA HAKI NA AMANI NCHINI TAREHE 23 AGOSTI 2025

Ratiba ya Misa

Dominika ya 21 ya mwaka C wa Kanisa

1. Misa ya kwanza

Misa ya kuhitimisha Mfungo na itaanza saa 1:30 hadi saa 3:30 asubuhi.

2. Misa kwa lugha ya Kiingereza

Saa 3:45 asubuhi hadi saa 5:15

3. Misa ya Pili kwa Kiswahili

 Saa 5:30 asubuhi hadi saa 7:15

4. Misa ya watoto

Saa 10:30 hadi saa 11:45

Hakutakuwepo na Misa Ya saa 12 asubuhi. Aidha, Misa zote mbili za Kigangoni Mikocheni A hazitakuwepo

RATIBA YA MFUNGO KUOMBA HAKI NA AMANI NCHINI TAREHE 23 AGOSTI 2025